Magari haya hayako katika maegesho ila yakisubiri kupakiwa katika meli ya Sea Link 1 ya kampuni ya Azam Marine kwa ajili ya kusafirishwa nje ya Zanzibar kwenda Dar-es- Salaam, eneo hili limejengwa na kampuni ya Azam na Shirika la Bandari Zanzibar kutolea huduma ya kupakilia abiria wanaokwenda Pemba na Dar.
WAFANYABIASHARA MKOANI KILIMANJARO WASISITIZWA KUENDELEA KULIPA KODI KWA
MAENDELEO YA TAIFA
-
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu ametoa hamasa kwa
Wafanyabiashara Mkoani hapo kuendelea kulipa kodi stahiki ili maendeleo ya
nchi yazidi ku...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment