Habari za Punde

Waziri wa Elimu wa Oman akutana na Uongozi wa SUZA Tunguud

 Profesa Idrisa A. Rai, akizungumza katika mkutano na Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman na Ujumbe wake uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA, kuhusu ushirikiano na Serekali ya Oman katika kutowa udhamini wa Wanafunzi wa Zanzibar katika Elimu ya Juu.kulia Mwenyekiti wa Baraza la SUZA Mzee Hassan Nassor Moyo na Waziri wa Elimu ya Juu Oman Dk. Rawya Al Busaid.  
 Ujumbe wa Wizara Elimu ya Juu Oman wakimsikiliza Profesa Rai, akitowa aelezo wakati wa Mkutano huo wa Ushirikiano. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.