Habari za Punde

Mchezo wa Pasaka kati ya timu ya Baraza la Wawakilishi na Timu ya Wazee Arusha.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho na Wajumbe wa Baraza wakielekea kukagua timu katika mchezo wa Kirafiki na timu ya Wazee Sport Club ya Arusha na Timu ya Baraza la Wawakilishi uliofanyika uwanja wa Amaan.
Spika Pandu Ameir Kificho akisalimiana na wachezaji wa timu ya Wazee Sport Club ya Arusha ambao ni wageni wa Wawakilishi katika mchezo wa kirafiki wa timu hizo uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Baraza imeshinda 2--1
Spika Pandu Ameir Kificho akiwasalimia wachezaji wa timu ya Baraza la Wawakilishi kabla ya mchezo wa kirafiki na timu ya Wazee ya Arusha.
Wachezaji wa timu ya Wazee ya Arusha wakisalimiana na Wachezaji wa timu ya Baraza la Wawakilishi ndio wenyeji wao.
Kikosi cha Timu ya Baraza la Wawakilishi.
Kikosi cha timu ya Wazee Sport Club ya Arusha iliocheza na Timu ya Baraza la Wawakilishi. na kuchabangwa bao 2-1
Waheshimiwa wakifuatilia mchezo wa kirafiki kusherehekea Pasaka hufanyika kila mwaka kwa pande mbili kubadilishana mwaka huu zimefanyika Zanzibar.
  Waheshimiwa wakifuatilia mchezo wa kirafiki kusherehekea Pasaka hufanyika kila mwaka kwa pande mbili kubadilishana mwaka huu zimefanyika Zanzibar
 Mchezaji wa timu ya Wazee ya Arusha akimpita beki wa timu ya Baraza la Wawakilishi katika mchezo wa kirafiki ya kusherehekea sikuku ya Pasaka.



 Wanaume wa timu za Baraza na Wazee wa Arusha wakifukuza Kuku.mshindi kutoka Wazee Arusha amekamata Kuku wawili na kuwa mshindi.


 Resi za kufukuza kuu kwa wanawake wa Timu ya Wazee ya Arusha na ya Baraza la Wawakilishi wakifukuza kuku na mwanake wa Baraza ambeshinda katika mbio hizo kwa kukamata kuku wawili.
Mchezo wa kuvuta kamba timu ya Wazee ya Arusha imeshinda katika mchezo huo.

3 comments:

  1. Haya samaki na mamavuvuzela haoo

    ReplyDelete
  2. hii ya kufukuza kuku hailekei , kwa sababu ni aina ya hujuma kuwatesa kuku kwa starehe ya kuwafukuza

    ReplyDelete
  3. A/a ndugu zangu Waislam! mimi Niko na swali dogo tu. have you got any idea what does pasaka means au tunasheherekea tu? You better findout..... Just a clue this is typical mfumo kristo in Zanzibar bila ya Wazanzibari wenyewe kujuwa!!!??? Why I never this events katika kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad SWA?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.