Habari za Punde

Misa ya Ibada ya Pasaka Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar.

 ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Zanzibar Michael Henry Hafidh, akjiongoza Ibada ya Pasaka iliofanyika  katika Kanisa  la Anglikana Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar na kuhudhuria na waumini wa madhehebu hayo wakati wa Ibada hiyo.
 WAUMINI wa madhehebu ya Anglikana Zanzibar wakihudhuria Ibada ya Pasaka  katika kanisa la Mbweni ikiongozwa na Askofu Michael Hafidh. Ikiwa ni maadhishimisho ya jumapili ya pasaka, iliofanyika kanisani hapo.



CANON Jerry  akiongoza Ibada ya Pasaka katika kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar  kwa lugha ya kiingereza, iliofanyika katika kanisa hilo na kuhughuriwa na wageni na wananchi mbalimbali ikiwa ni maadhimisho ya pasaka.
WAUMINI wa  Kanisa la Anglikana Mkunazini wakihudhuria Ibada ya Pasaka ikiongozwa na Canon Jerry , kuadhimisha siku ya Pasaka na kuungana na waumini wa dini ya Kikristo Duniani kote kuadhimisha siku hiyo.

1 comment:

  1. Hao Ndio Watawala Wetu wa Kesho na Taifa la Zanzibar la Baadae... Wamo Wanapandikizwa kila siku. Na Wazungu wengi wao wanakimbia Uchumi Mgumu unaowakabili Nchi zao na Kuwa Ma Agent wakuingia na Ungua .....

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.