Kizaza katika goli la timu ya Chuoni wakati wa mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Chuoni imeshinda 3--2
Kocha wa timu ya Chuoni Ali Bakar akigomba baada ya wachezaji wake kufanya vibaya wakati wa mchezo wao ligi kuu ya Zanzibar ilipocheza na Bandari lakini imetoka kivua mbele kwa mabao 3--2..
Mchezaji wa timu ya Bandari Hamad Said akimili mpira huku mchezaji wa timu ya Chuoni akijiandaa kumzuiya.
Mchezaji wa timu ya Bandari Mohammed Hassan, akimpita beki wa timu ya Chuoni Mwinyi Haji,katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Chuoni imeshinda 3-2
Wapenzi wa mchezo wa Soka Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar unaofanyika uwanja wa Mao.
Mshika kibendera akijibu malalamiko ya Nahodha wa timu ya Chuoni akimlalamikia uamuzi wake kwa kudai kupendelea upande mmoja wakati wa mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar kati ya timu ya Bandari na Chuoni.
Mchezaji wa timu ya Bandari akimtoka beki wa timu ya Chuoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar.
Kocha wa Timu ya Bandari akitowa maelekezo kwa wachezaji wake ili kujikomboa ili kupata sare .
No comments:
Post a Comment