Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,katika utekelezaji wa kazi za
Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,
Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,
[Picha na RamadhanOthman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment