Habari za Punde

Ziara ya Miss Utalii katika Kambi yao.

 Mhifadhi Utalii Emmanue Njiku, wa hifadhi ya Sadaan akifafanua jambo kwa Miss Utalii Tz 2013 wakati wa ziara hivi karibunil
Miss Utalii Tanzania waakicheza na watoto wa kijiji cha Saadan
  Gari la Warembo likiwa limenasa katika hifadhi ya Saadan, ilibidi kutowa kijasho kuikwamua na kuendelea na safari yao katika kijiji cha saadan 
 Miss Utalii Tanzania wakifurahi wakati wa mazoezi katika Fukwe ya Hifadhi ya Taifa ya Saadan, kwa michezo mbalimbali waliokuwa wakifanya kwa ajili ya mazoezi yao wakiwa katika ziara yao.
Miss Utalii Tz 2013 wakipozi katika milima ya Udzungwa baada ya kutembea kwa Nusu Mlima, wakijifariji baada ya kufika nusu mlima huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.