Mdau wangu mwananchi huyu amekosa sehemu mbadala ya kupaki gari lake na kuamua kupaki katika eneo la bustani katika eneo la michenzani? Kuna baadhi ya Wananchi hutumia sehemu kama hizo kuegesha magari na kuharibu bustani ambazo hutunzwa kwa ajili ya kupendezesha mji na kufanya bustani hizo kutuendelea kwa uharibifu wa makusudi unaofanywa. katika maeneo hayo.
KATIBU MKUU ARDHI ARIDHISHWA NA KAZI YA UIMARISHAJI MPAKA WA TANZANIA NA
KENYA
-
Na *Munir Shemweta, WANMM ROMBO*
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony
Sanga ameoneshwa kuridhishwa na kazi ya uima...
3 hours ago
hichi kitu ana haki ata kupark jamhuri garden,kwanza iyo bustani yenyewe hamna apo
ReplyDelete