Habari za Punde

Yanga Yaongoza Bao moja dhidi ya Watani wao Simba.

Kwa habari tulizozipata sasa hivi kuwa timu ya Yanga Afrika inaongoza bao moja lililofungwa na mshambuliaji Didier Kavumbagu , katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo unaofanyika jiji Dar-es-Salaam.Mpka sasa Dar Yanga afrika ikiwa mbele kwa bao hilo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.