Habari za Punde

Ligi Kuu ya Mpira wa Mikono Wanawake Africa Magic na Nyuki.

 Mchezaji wa timu ya Nyuki akimtoka mchezaji wa timu ya Africa Magic, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Mpira wa Mikono Zanzibar timu ya Africa Magic imeshinda kwa vikapu 45-42.
 Mchezaji wa timu ya Africa Magic mwenye mpira akiwatoka wachezaji wa Nyuki katika mchezo huo uoliofanyika katika uwanja wa Basket maisara, timu ya Africa Magic imeshinda kwa vikapu 45--42. 
Hapa hupiti ndivyo wanavyoonekana wakisema wachezaji hawa wa Africa Magic.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.