Wachezaji za timu ya KVZ na Zimamoto wakiwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Netiboli Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya Zimamoto akijiandaa kutowa pasi.katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar timu ya KVZ imeshinda kwa magoli 44-29
Ola nimeudaka mimi huu hapa
Jopo la waamuzi wa mchezo wa netiboli wakifuatilia mchezo wa ligi kuu ya Netiboli Zanzibar kati ya timu ya KVZ na Zimamoto.
Hapana goli hapa mchezaji wa timu ya KVZ akikinga mpira kuingia galini kwao.
Wangu huu nimewahi kudaka ndivyoinavyoonekana akisema mchezaji huyu wa timu ya Zimamoto.
Mashabiki wa mchezo wa Netiboli Zanzibar wakifuatilia mchezo kati ya Zimamoto na KVZ mchezouliofanyika katika uwanja wa Gymkhana, timu ya KVZ imeshinda kwa mabao 44 - 29
No comments:
Post a Comment