Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) pamoja na Viongozi na wananchi na
waumini wa Dini ya Kiislamu wa Chokocho jimbo la Mkanyageni Mkoa wa
Kusini Pemba,wakijumuika katika chakula cha futari aliyoiandaa katika
Kijiji hicho jana
Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa
Chokocho Jimbo la Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika
chakula cha futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya
Skuli ya Chokocho jana
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,(katikati)
akijumuika na Wanawake wa Chokocho Jimbo la Mkanyageni Mkoa wa Kusini
Pemba, katika futari aliyowaalika viwanja vya Skuli ya Chokocho
jana.(kushoto) Mkuu wa wilaya ya Chake chake Mwanajuma Majid
Baadhi ya akina mama wa Chokocho Jimbo la Mkanyageni Mkoa
wa Kusini Pemba, wakiwa katika chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu
wa Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Skuli ya
Chokocho Pemba jana
Ustadh Yussuf Ali, akitoa neon la shukurani kwa niaba
ya Wananchi na Waislamu wa Chokocho Jimbo la Mkanyageni jana,mbele ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,baada ya futari aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli
ya Chokocho jana. [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]
No comments:
Post a Comment