Habari za Punde

Hadithi ya leo


“ إِنَّ لِلصَّائِمِ عِنْدَ فِطْرِهِ لَدَعْوَةً مَا تُرَدُّ ”
Amesema Mtume Muhammad Swalla Allaahu 'Alayhi Wasallam

“Hakika mwenye kufunga, wakati wa kufutari, anaweza kuomba du'aa ambayo hukubaliwa"

[Imepokewa na Ibn Maajah and al-Haakim]
 
Tujitahidi kutumia muda huu kabla ya kuanza kufutari kumuomba Allaah Subhaanahu Wata'ala kwani ni mojawapo wa nyakati bora za kuomba du'aa.

1 comment:

  1. kufunga , kusali kwenda kuhiji , hakutamsaidia mtu ikiwa anadhulumu haki za watu , na hakika mwenyezi mungu hawapendi wenye kudhulumu.
    VIongozi wengi wa znz wanadhulumu haki za raia , na vipato vyao wengi wao ni vya haramu , basi kufuturisha kwa fedha za haramu hakuleti faida yoyote ndugu zangu wadhulumaji, kama mwongo tutaona hivi karibuni tu kila kiongozi anajitahidi kufuturisha , ah eti wanamfanya Mwenyezi Mungu kama hawaoni vile

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.