Habari za Punde

Jumuiya ya wanawake wa kiislamu nchini ( Taqwa) yatoa futari kwa familia 500 zinazolea yatima Pemba

 Pakiti za aina mbali mbali ya vyakula vya futari, zilizotolewa na Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu nchini Tanzania (Taqwa), kwa familia 500 zinazolea watoto mayatima, kisiwani Pemba
 Mkurugenzi mtendaji wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu nchini Tanzania (Taqwa), Dk Salha Mohammed Kassim, akizungumza na wazazi wanaolea watoto mayatima kisiwani Pemba, huko katika skuli ya Ole wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, kabla ya kukabidhi futari kwa familia 500
 Mkurugenzi mtendaji wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislamu nchini Tanzania (Taqwa), Dk Salha Mohammed Kassim, akimkabidhi futari Asha Suwed mama anayelea watoto mayatima, wa kwanza kushoto mkurugenzi Mwendeshaji wa jumuiya hiyo, Zena Ahmed Said, hafla hiyo iliyofanyika katika skuli ya Ole
MLEZI wa Jumuiya ya Tahfidhi Qur-an jimbo la Ole kisiwani Pemba, Abdalla Mohammed Kassim (kulia) akisubiri kumkabidhi mmoja wa wana familia wanaolea watoto mayatima futari, wa kwanza kushoto ni mkurugenzi Mwendeshaji wa jumuiya ya Wanawake wa Wanawake wa Kiislamu nchini Tanzania (Taqwa), Zena Ahmed Said, wa pili ni Mkurugenzi mtendaji wa Jumuiya hiyo, Dk Salha Mohammed Kassim. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.