Walinzi wa timu ya New Star, mussa Yussuf (mwenye mpira) na Hamad bungo (kulia) wakililinda lango lao walipokutana na timu ya Kimyakimya FC, kwenye uwanja wa White Star Bububu Zanzibar, kugombea mbuzi jana. Kimyakimya FC. iliibamiza New Star bao 1 - 0.
Picha na Martin Kabemba.Mshambuliaji wa timu ya Kimyakimya FC. Ahmed Hassan (kulia)akitafuta mbinu za kumpita mlinzi Maulid Hamad wa New Star kwenye pambano la kugombea Mbuzikwenye uwanja wa WhiteStar, Bububu Zanzibar jana. Kimyakimya FC. iliichapa New Star bao 1 - 0
Picha na Martin Kabemba
No comments:
Post a Comment