Habari za Punde

Mandhari ya Bandari ya Zanzibar

Muonekano wa Bandari ya Boti za Abiria kwenda Dar na Pemba kama inavyoonekana ikipendeza na kutowa sura nziri ya mji wa Zanzibar kwa wageni wanaotembelea Zenj kwa kupitia njia ya bahari na kuwa kivutio kwao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.