Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, na Afisa Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Sabasaba Moshingi, akiwa na mgeni wake alipowasili katika hoteli ya Zanzibar Ocean View kwa ajili ya kuhudhuria futari ilioandaliwa na Benki ya Posta Tanzania.
Wateja wa Benki ya Posta wa kipata futari ilioandaliwa na Benki ya Posta Tanzania.
Meneja Mawasiliano wa Benki ya Posta Tanzania akipata futari ilioandali kwa wateja wao katika hoteli ya Zanzibar Ocean View.kilimani.
Meneja Mawasiliano Mwandamizi wa Benki ya Posta Tanzania Noves Moses,kushoto akijumuika na wateja wa benki hiyo katika hafla ya futari ilioandaliwa kwa ajili ya wateja wao wa Zanzibar.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania Sabasaba Moshingi,akihutubia katika hafla hiyo na kuelezea utendaji wa Benki yao jinsi invyotowa huduma kwa wateja wao, wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na benki yake.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akihutubia katika hafla hiyo na kutowa nasaha zake kwa Watendaji wa Benki ya Posta Tanzania na Wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.Zanzibar.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania Sabasaba Moshingi, Meya wa Manispa ya Zanzibar Khatib Abrahaman na Mkuu wa Wilaya ya Mjini , wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akihutubia katika hafla hiyo ya futari.
Wananchi wa Zanzibar waliohudhuria futari ilioandaliwa na Benki ya Posta kwa ajili yao wateja wa benki hiyo walioko Zanzibar wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar akizungumza katika hafla hiyo ya futari katika hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.
Sheha wa Shehia ya Mchangani akisomwa Dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliandaliwa na Benki ya Posta Tanzania kwa wateja wao walioko Zanzibar.
Waheshimiwa wa meza Kuu wakiomngozwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akijumuika na Viongozi wengine katika Futari ilioandaliwa na Benki ya Posta Tanzania kwa Wateja wao Zanzibar iliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.
Huu utamaduni wa alinacha kuwafuturi walonacho wenziwe utaishalini?, tangu wezi mtukufu uanze hakuna hata kiongozi au tasisi ya uma tulosika imefutarisha masikini vijijini wao kwawa o wafuja pesa za walipa kodi misafara mingi faida hakuna , wananchi wanapita wakiomba kwa mabesari wakihind na kimanga
ReplyDelete