Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Azungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi The Fountain of Joy

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi, The Fountain of Joy ya jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 25, 2025. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja  na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi, The Fountain of Joy ya jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.