MKUU wa mkoa wa kusini Pemba, akiikaribisha
kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ,
katika mkoa wake jana, kulia ni makamo mwenyekiti wa kamati hiyo, ambaye pia ni
mbunge wa jimbo la Uzini, Mohammed Seif Khatib. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba .)
MAKAMO mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na
Usalama ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ambae ni mbunge wa jimbo
la Uzini, Mohammed Seif Khatib, akijitambulisha kwa mkuu wa mkoa wa kusini
Pemba, Juma Kassim Tindwa (mwenye shati nyeupe kushoto), juu ya uwepo wao
katika mkoa wake jana. (Picha na Abdi
Suleiman, Pemba .)
No comments:
Post a Comment