Habari za Punde

Mambo ya Kilimo hayoo ndani ya Mji Mkongwe Zenj..


Kilimo ni sehemu yoyote ile hulimwa kama inavyoonekanamigomba hiyi ikiwa imepandwa jirani na Wizara ya Afya majestiki mbele ya msikiti baraza wa marehemu Mwalim Bei, migomba hii ikiwa imenawiri na kuwa mfano wa wapita njia kuona migomba ikiwa imestawi mjini. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.