Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Pawar Kumar, akimsikiliza Ofisa wa Idara ya Mazingira kutoka Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Nd. Sheha Mjaja akitowa maelezo wakati alipofanya ziara kutembelea Kikundi cha Ushirika cha Kuhifadhi Mazingira cha Nyamazi,kinachojishughulisha na kilimo cha Mikoko.
AICC NA JNICC NDANI YA MAONESHO YA SABASABA
-
Kituo cha Mikutano cha AICC (Arusha International Conference Centre)
kilichopo Arusha na JNICC (Julius Nyerere International Convention Centre)
kilichop...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment