Habari za Punde

Mambo ya Tangazo hilo ikisomeka


Tangazo likiwa limewekwa katika moja ya daka katika marikiti ya darajani kukataza kuegesha vyombo vya moto na kufanya biashara mbele ya duka hilo linalojishughulisha na biashara ya kuuza vitu vya mapishi vya viungo mbalimbali,eneo limekuwa likifanya ni maegesho na wafanyabiashara kupanga bidhaa zao ili kupata wateja na kuweka kiwingu katika duka hilo na kuwa usumbufu kwa wateja wake wanaofika dukani hapo kupata mahitaji yao.

1 comment:

  1. Hili baraza la mji lino ongzwa na vipofu wakulima na wakwezi, wao na muaomsha akilizao sawa, aljunu funu, tutafika tuendako

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.