Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Azungumza na Balozi Mdogo wa China.


MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Chen Quiman, alipofika Ikulu Migombani kumuuga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimsikiliza Balozi wa Mdogo wa China Zanzibar Chen Quiman,akitowa maelezo ya picha aliomkabidhi Mama Mwanamwema Shein, alipofika kumuaga Ikulu Migombani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.