BAADA ya kumalizika kwa sikukuu ya Idd el
Fitr hivi karibuni, baadhi ya wafanya biashara wa nguo katika eno la Juwakali
katika soko la Chake Chake, wameanza kuvunja vibanda vyao na kuliweka eneo hilo kurudi katika hali ya kawaida, kama
linavyoonekana katika picha. (Picha na
Abdi Suleiman, Pemba. ).
Kufuatia kupatikana kwa wingi samaki,
wavuvi kutoka sehemu mbali mbali kisiwani Pemba, hulazimika kuwapakia katika
daladala na kuwakimbiza maeneo ya mjini, kama inavyonekana daladala yenye No
606 ya Wete-chake, ikizongwa na wananchi wakinunua samaki hao, kama wanavyoonekana katika Picha. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba. ).
No comments:
Post a Comment