Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na viongozi wa Benki mpya ya UBL, kufurahia uzinduzi wa benki hiyo iliyopo Mtaa wa samora jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika leo Sept 4, 2013.
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya UBL, Zamees Ghudrey, akizungumza wakati alitoa shukrani baada ya uzinduzi huo, uliofanyika leo
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa benki hiyo, wakimsikiliza Makamu wa Rais , wakati alipokuwa akiwahutubia kwenye uzinduzi huo.
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa benki mpya ya UBL, baada ya uzinduzi wa benki hiyo uliofanyika leo, jijini Dar es Salaam . Picha na OMR
No comments:
Post a Comment