Mkurugenzi wa Mafunzo,Hu Weiping , Akifunguwa Semina ya Waandishi wa Habari
kutoka Vyombo mbali mbali vya Zanzibar ,
huko katika Hoteli ya Beijing
China ,
wakati Waandishi hao walipopata mualiko kutoka Serikali ya China
Makamo Mkurugenzi Baraza la Habari la
Taifa,Ding Xiao ming wa China , akitowa
maelezo juu ya mwenendo mzima wa Semina hiyo na umuhimu wake kwa Waandishi wa
Habari kutoka Zanzibar, huko katika ukumbi wa Yongan Hotel,Beijing China.
Mkuu wa msafara wa jopo la waandishi mbali
mbali kutoka Zanzibar
ambae pia ni Kaimu Mhariri Mkuu wa Gazeti la Zanzibarleo , Nasima Haji Chum,
akiwatambulisha Waandishi hao na kutowa shukrani kwa Waandaaji wa Semina hiyo.
Waandishi wa Habari kutoka Zanzibar ,wakifuatilia kwa makini Hotuba ya
ufunguzi wa Semina ya Waandishi wa
Habari huko katika Hoteli ya Yongan –Beijing -China .
Prof, Sun Qiming , kutoka Idara ya ukuzaji
Uchumi ya China, akitowa mada kwa Waandishi wa Habari wa Zanzibar, huko Beijing
China, jinsi China ilivyopiga hatuwa katika ukuwaji wake wa Uchumi na juhudi
zinazoendelea siku hadi siku.
No comments:
Post a Comment