WAFANYAKAZI wa Taasisi za Serikali na Binafsi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya Kizimkazi leo 1-5-2025

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia Mei Mosi 2025, yaliyofanyika Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya Kizimkazi leo 1-5-2025

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi na Cheti cha Mfanyakazi
Bora kutoka Mamlaka ya Uhifadhi Mji Mkongwe Zanzibar Maryam Ali Hassan, wakati
wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025,
yaliyoadhimishwa Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025, katika viwanja vya
Kizimkazi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi na Cheti cha Mfanyakazi
Bora kutoka Afisi ya Rais Ikulu (Mhudumu) Khamis Ali Mikidadi,wakati wa Kilele
cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, yaliyoadhimishwa
Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025, katika viwanja vya Kizimkazi.
///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya
Mei Mosi 2025, Nahodha wa Timu ya Bandari Pemba Seif Ali Hamad,wakati wa Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, yaliyoadhimishwa Mkoa
wa Kusini Unguja leo 1-5-2025, katika viwanja vya Kizimkazi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Jahazi iliyotolewa
na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja , akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud ,wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, yaliyoadhimishwa Mkoa wa Kusini Unguja leo
1-5-2025, katika viwanja vya Kizimkazi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO maalumu na Mwenyekiti wa
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar Seif M. Seif,wakati wa Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, yaliyoadhimishwa Mkoa
wa Kusini Unguja leo 1-5-2025, katika viwanja vya Kizimkazi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO maalumu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff,wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, yaliyoadhimishwa Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025, katika viwanja vya Kizimkazi
No comments:
Post a Comment