RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakisalimiana na Viongozi mbalimbali waliowasili viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa
Kusini Unguja kwa ajili ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi
Duniani Mei Mosi,zilizofanyika leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi wa Yas /Mixx Zanzibar. Azizi Saidi
Ali, wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo
1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Rasilimali Watu Benki ya Watu wa
Zanzibar (PBZ) Viwe Ali Juma,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku
ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi
Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,wakimsiliza
Mkurugenzi Mipango na Uwekezaji Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar Halifa Muumini,wakati
akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi,
yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimsiliza
Mkuu wa Mkurugenzi ya Mipango,Utumishi na
Utawala Tume ya Uchaguzi Zanzibar Saadun Ahmed Khamis,wakati akitembelea maonesho
ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika
viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimsiliza
Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA -Zanzibar Bw. Saleh Haji Pandu,wakati akitembelea maonesho
ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika
viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimsiliza
Meneja wa PSSF Ofisi ya Zanzibar Rajab
Kinande,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi
Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini
Unguja leo 1-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.
Shariff Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya Wafanyakazi ya Maadhimisho
ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika

No comments:
Post a Comment