
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa, alipofika katika jengo la Temple Trees jijini Colombo, alipokuwa akihudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola (CHOGM 2013)
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa a Ujumbe wake akizungumza na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa, alipofika katika jengo la Temple Trees jijini Colombo, alipokuwa akihudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola (CHOGM 2013)
No comments:
Post a Comment