Habari za Punde

Dk Shein afungua kituo cha Polisi Mchangamdogo, Pemba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa,alipowasili Mchangamdogo kukifungua Kituo cha  Polisi,akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa kituo cha Polisi Mchangamdogo  , akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba
 Baadhi ya wananchi wa Shehia ya Mchangamdogo Kaskazini pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wananchi hao baada ya kukifungua Kituo cha Polisi katika shehia hiyo, akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi na Jeshi  Polisi katika Kituo cha Polisi Mchangamdogo Wilaya ya Wete,baada ya kikufungua rasmi akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.