Habari za Punde

DK Shein akutana na Uongozi wa Wizara Kilimo na Maliasili

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo na Maliasili, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika  Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad.  [Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]



Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya  Kilimo na Maliasili,wakiwa katika mkutano wa  utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Waziri wa Kilimo na Maliasili Suleiman Othman Nyanga,akitoa taarifa ya utekelezaji wa kazi za Wizara yake katika mkutano maalum na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kawaida   kila Wizara kufanya hivyo,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.