Habari za Punde

Huduma Bandari ya Majengo na Miti Malindi

Wachukuzi katika bandari ya malindi funguni wakishusha miti katika jahazi kwa ajili ya biashara ya ijenzi wa nyumba Zenj bandari hii hutowa huduma za majahazi ya mkaa na majengo 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.