Habari za Punde

Wadau wa haki za watoto Pemba katika warsha ya jinsi ya kuanzisha vijiji vya SOS

 Mratibu wa kijiji cha SOS, Arusha, Francis Msulo, akieleza jambo kwa Wadau juu Vijiji vya SOS.
 Mratibu huyo wa SOS, Arusha , akielezea Vijiji vya SOS , na gharama zake katika kuanzisha kwake.
 Wadau wa Haki za Watoto wakisikiliza maelezo kuhusu Vijiji vya SOS, na kuanzishwa kwa miradi itakayo wahudumia Watoto wakiwa majumbani kwao na familia zao .
 Mratibu wa mradi wa Kuimarisha Familia uliochini ya Kijiji cha Watoto cha SOS, Pemba, Husna Juma Selungwi, akitowa maelezo ya mradi huo unavyofanya kazi zake.

Mratibu wa Mradi wa CARE FOR ME, John Batista, akieleza jambo kwa Wadau na watetezi wa haki za mtoto juu mradi huo unavyoweza kusaidia kuratibu shughuli hizo 


Mmoja wa Wadau hao wa Haki za Watoto akichangia jambo katika mkutano wa Wadau hao uliofanyika katika Hoteli ya Hifadhi Pemba.


Picha na bakar mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.