Mgombea wa Nafasi ya Uwakilishi katika jimbo la Kiembesamaki Ahmeid Kassin Haji ajitokeza kugombea nafasi hiyo kuchaguliwa na Chama chake kugombea
Mgombea Nafasi ya Uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi Ahmeid Kassin Haji akichukuwa fomu ya kugombea nafasi hiyo kupitia CCM. katika mchakato wa mwazo wa kuwania nafasi hiyo kuchagulia kukiwakilisha chama chake.
Ahmeid Kassin Haji akisaini baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika hatua za mwazo kuwania nafasi hiyo. na kuchaguliwa mgombea mmmoja kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki unaotarajiwa kufanyika mwakani 2014.
Mgombea Kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi Gharib Mohammed Abdi
Mgombea Kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi Gharib Mohammed Abdi, akichukuwa fomu ya kuwania kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Nafasi ya Uwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki
Mgombea Nafasi ya kuteuliwa kugombea Nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Laize Abdalla Salum, akipokea fomu ya kugombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Mapinduzi.
Laize Abdalla Salum
Mgombea Nafasi ya Uwakilishi Kiembesamaki kupitia CCM Mahmuod Thabit Kombe.
Mgombea Nafasi ya Uwakilishi kupitia CCM Mahoud Thabit Kombo akisalimiana na Viongozi waCCM alipofika tawi la CCM Kiembesamaki kuchukua fomu hiyo akishindikizwa na Mhe, Sir Jecha .

unajua kuwa sura ya mtu inakuwa haidanganyi , anaweza kusema maneno tofauti na sura yake inavyojionyesha , hawa wote ukiwatizama unaona hawagombei uwakilishi kwa ajili ya manufaa ya raia bali ya matumbo yao yaliojaa uroho,
ReplyDeleteAno 1 nakiri 100% your comment, mfano huyo jamaa ambae aliwaahidi mengi watu wa Mpendae and he did nothing, ameenda kuzitumia sasa anaona zinaisha anakuja kuwaambia uwongo wa Kimango fish na kwa dhiki tuizonazo watampa huyo
ReplyDelete