Habari za Punde

Huduma ya Usafiri Ikiimarika Zenj

Meli ya Kampuni ya Azam Marine ikiwakatika bandari ya Forodhani ikipakia abiria kwa ajili ya safari zake za kawaida kati ya Unguja na Pemba  hadi Dar, meli hii imepunguza tatizo lausafiri katika kisiwa cha Pemba kwa kutowa huduma hiyo kwa wananchi wa kisiwani huko.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.