Habari za Punde

Kombe la Makocha la Mapinduzi kati ya PBZ na Wazee Veterani.

 Beki wa timu ya Wazee Veterani Khamis Sufiani, akizuia mpira na huku mshambuliaji wa timu ya PBZ Ali Hamad, katika mchezo wa Kombe la Makocha.  
 Mchezaji wa timu ya PBZ na mchezaji wa timu ya Wazee Veterani wakiwania mpira wa juu katika mchezo huo.

 Mchezaji wa timu ya PBZ Haasan Maulid, akimpita beki wa timu ya Wazee Veterani Hashim Said, katika mchezo wa Kombe la Makocha uliofanyika uwanja wa Amaan nje. 
Mshambuliaji wa timu ya PBZ Suleiman Juma, akiwapita mabeki wa timu ya Wazee Veterani katika mchezo wa Ufunguzi wa Kombe la Makocha la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa nje wa Amaan, timu ya Wazee Veterani imeshinda 5--3. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.