Habari za Punde

Kongamano la Maadhimishi ya Mfuko wa Barabara Zanzibar Miaka 10

Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Mhe. Amani Abeid Karume akizindua Kitabu cha Mfuko wa Barabara Zanzibar kutimia miaka 10 na kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika Ukumbi wa Karume hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazinini Zanzibar, kushoto kwa Mhe. Amani ni Mwenyekiti wa Mfuko wa Bodi ya Barabara Zanzibar, Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee, Katibu Mkuu izara ya Fedha Zanzibar Khamis Mussa, Waziri wa Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar 

Wadau wa Usafiri wa njia ya Barabara Zanzibar Wakifuatilia maelezo ya Makabrasha yao kabla ya kuaza kwa Kongamano hilo la Siku moja la Maadhimisho ya Miaka kumi ya Mfuko wa Barabara Zanzibar na Maadhimisho ya Miaka 50ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Waliokuwa Viongozi wa Mfuko wa Barabara Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume.akihutubia katika ufunguzi wa Kongamano hilo la kutimia miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar na miaka 10 ya Mfuko wa Barabara kuazishwa kwake Zanzibar.
Waalikwa katika Kongamano la Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kutimia miaka 10mya Mfuko wa Barabara Zanzibar tangu kuazishwa kwake wakifuatilia Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Karume hotel ya Zanzibar Beach Resort mazizini Zanzibar.
Wageni waaalikwa wakifuatilia mjadala wa Kongamano hilo la Kutimia miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Maadhimisho ya kutimia miaka 10 ya Mfukowa Baraza Zanzibar Tangu kuazishwa kwake Zanzibar na mafanikio yake yaliopatikana 
Rais Mstaaf waSerekali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Sita Dkt. Amani Abeid Karume, akihutubia katika Ufunguzi waKongamano la Mfuko wa Barabara Zanzibar kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kutimia kwa miaka 10 tangu kuazishwa kwa mfuko huo Zanzibar, Dkt. Karame ametowa nasaha zake kwa Uongozi wa Mfuko wa Barabara Zanzibar na watumizi wa barabara hizo kuzitunza katika matumizi yake.ili zidumu kwa muda mrefu wa matumizi yake. 
Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu yaSita Dkt. Karume akisisitiza jambo alipokuwa akifungua kongamano hilo.katika ukumbi wa Karume Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.