Eneo la Mandhari ya Amani Nyerere ambalo sehemu hii ya mbele ambayoilikuwa katika hari ya mashimo baada ya baadhi ya wananchi kuchimba mchanga na kuwa sehemu ya mporomoko wa ardhi, sasa kama linavyoonekana baada ya taasisi husika kuijaza sehemu hiyi na kupata muinuko na kuondoa ile hali ya uharibipu wa mazingira katika eneo hilo lilokuwa likiongoza kwa uchimbaji wa mchanga kwa magari ya ngombe.
Mahakama ya Afrika yaipa Rwanda siku 90 kujibu madai ya Congo ya kufadhili
waasisi wa M23
-
Na Seif Mangwangi, Arusha
MAHAKAMA ya Afrika ya Watu na Haki za Binaadam (AfCPHR), imejiridhisha
kwamba inayouwezo na mamlaka ya kusikiliza kesi ya Jamhuri...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment