Habari za Punde

Maandalizi ya Mwisho kwa Chipukizi Kupokea Matembezi ya Vijana Kesho Maisara.

 Vijana wa Chipukizi wakiwa katika mazoezi ya mwisho ya Maandalizi ya bwaride la Vijana wa Chipukizi kuyapokea Matembezi ya kuamishisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayotarajiwa kufanyika kesho wakati wa kumalizia matembezi hayo na kupokelewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.