Habari za Punde

Maalim Seif Azindua Jengo la Skuli ya Sekondari Wete Pemba



 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongazana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Juma Shamuhuna alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Wete Sekondari kwa ajili ya kuizungua Skuli hiyo ikiwa ni shamrashamra za Mapinduzi kutimia miaka 50.iliyoko katika Kijiji cha Pandani.Wilaya ya Wetev Mkoa wa Kaskazini Pemba

 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Mwanaidi Saleh Abdallah, akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa skuli ya Wete Sekondari iliyoko Pandani.

3 comments:

  1. Hayo ndio matunda ya mapinduzi sio siasa za chuki na ubaguzi mpemba kumbagua muunguja au muunguja kumbagua mpemba
    Hongera shamuhuna na maalim

    ReplyDelete
  2. Tunaweza tukaijenga Zanzibar ikapendeza na kila mzanzibari kuishi kwa furaha kwa shibe na afya njema.

    Kuimarisha mapinduzi ni kuimarisha umoja wetu pamoja na kuifanyia nchi yetu mambo mazuri kwa faida yetu sote.

    Skuli nzuri Sana. Tuhongereni Wazanzibari.

    ReplyDelete
  3. Sekondari Wete au Pandani wilaya ya Wete ?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.