Habari za Punde

Maulidi ya Mfungo Sita Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Baadhi ya Wanafunzi wa Madrasa zilizohudhuria sherehe ya Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad SAW katika viwanja vya Mnazi mmoja wakisoma Qusda
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Ali Mohamed Shein, akiungana na Waumini wa Dini ya Kiislam katika sherehe za maulidi ya kuzaliwa Mtume Muhamaad SAW yaliofanyika katika viwanja vya Mnazimmoja akiwa na Viongozi wa Serekali na Dini Zanzibar kuadhimisha siku hiyo.
Ustdh Yussuf Abdulrahaman akisoma maulid mlangowa nne 
Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakihudhuria Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad SAW katika viwanja vya Mnazi mmoja
Ustadh .Hassan Ali Kombo akisoma hutba ya kuadhimisha kwa kuzaliwa kwa Mtume Muhammad SAW zilizofanyika katika kiwanja cha ,mnazimmoja 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Ali Mohamed Shein,na Viongozi wa Serekali na Dini wakisimama kumsalia Mtume wakati wa Maulidi ya Mfungo sita yaliofanyika katika viwanja vya Mnazimmoja na kuungani na Waumini wa Dini ya Kiislam duniani kuadhimisha siku hii ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad SAW
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Qusda na Mwenyekiti wa Kamati ya Maulidi ya Mfungo Sita Shekh. Shirali Chapmsi 

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein,akijumuika na Waumini wa dini ya kiiislam katika maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad SAW yaliofanyika viwanja vya Mnazi mmoja.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakisimama kumsalia Mtume katika maulid hayo ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad

 No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.