Habari za Punde

Shmrashamra za Kuukaribisha Mwaka Mpya Viwanja vya ZBC Karume House.


 


                                               Mdau mambo ya Rusha Roho hayoooo
Mambo ya Vidole machoni hivyo ikiwa ni kuukaribisha Mwaka Mpya 2014 katika viwanja vya ZBC Karume House, Wafanyakazi na Wapenzi wa ZBC wakisherehekea kuingia mwaka mpya wakiburudika na Taraab ya Wajelala.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.