Habari za Punde

Waziri Ferej Afanya Uteuzi wa Kamati ya Kitaalam ya Dawa za Kulevya Zanzibar.

Na Mwandishi Wetu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Fatma Ferej, amefanya Uteuzi kwa mujibu wa Kifungu cha  4A(2) cha Sheria Namba 12 ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2011.

Waziri Fatma Ferej amefanya Uteuzi kwa kuwa Wajumbe wa Kamati ya Kitaalam ya Dawa za Kulevya Zanzibar, ilikutowa ushauri kuhusiana na Dawa za Kulevya kwa Vijana. Walioteuliwa ni Ndg. Mohammed Suleiman Hibry (Toll) kutoka Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar, Ndg. Lucy Majaliwa, kutoka Jumuiya ya ZAYEDESA na Pastor Jeremiah B.Kobero, kutoka Baraza la Maaskofu Zanzibar.

Amesema uteuzi huo15, January 2014.  .
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.