Habari za Punde

Hali hii Itakwisha Lini Darajani.

 Msongomano wa Wananchi na wafanyabiashara ya bidhaa za Tende na haluwa katika eneo hilo imekuwa kero kwa wafanyabiashara hawa kuweka mikokoteni yao ya bidhaa hizo njiani na kuwa kero kwa watumiaji wa njia hiyo kuelekea kiponda na forodhani wakati wa mchana. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.