Mtaalamu wa dawa za Asili akitowa maelezo ya
dawa zake na maisha ya wanyama akimzungumzia nyoka jinsi anavyoishi na
mazingira yake katika uhai na wanyama wengine,akiwa katika viwanja cha mchangani darajani akiwa na nyoka wake.
MCHENGERWA ASHINDA KWA ASILIMIA 99.19 RUFIJI
-
Na Ally Issa
Mgombea wa jimbo la Rufiji anayetetea jimbo lake Mohamed Mchengerwa
ameibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kwa kuzoa asili...
30 minutes ago
No comments:
Post a Comment