Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati)Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman
Kinana,(kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda,(wa pili kushoto) na
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) wakiwa katika
Mkutano wa siku moja wa Wabunge na Wawakilishi wa CCM katika ukumbi wa White
House Mjini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
(katikati) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) na Waziri Mkuu wa
Tanzania Mizengo Pinda,(kushoto) wakichukua maelezo wakati wa kikao cha siku moja
cha Wabunge na Wawakilishi wa CCM katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma
Baadhi ya wabunge na
wawakilishi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika mkutano uliofunguliwa na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo
Pinda,(kulia) ambae ni Mwenyekiti wa kikao cha wabunge na wawakiishi wa CCM
alipokuwa akitoa taarifa za kikao hicho mbale ya mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete,(hayupo pichani) katika ukumbi wa White house Makao Makuu ya CCM Dodoma leo asubuhi. [Picha
na Ramadhan Othman,Dodoma .]
No comments:
Post a Comment