Habari za Punde

Mnada wa Samaki Malindi Zenj.

Wachuuzi wa samaki katika bandari ya malindi Zanzibar wakiwa katika mnada wa soko hilo wakinunua samaki kutoka kwa wavuvi wanaowasili katika bandari hiyo ya asili katika visiwa vya Unguja. Katika kipindi hicho samaki wamekuwa na bei kubwa kutokana na hali ya bahari kuwa na upepo na mawimbi makubwa katika kipindi hichi na bidhaa hiyo kuwa na bei juu katika mnada huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.