Habari za Punde

Wanajumuiya wa Tumaini Jipya TUJIPE katika Semina


WANAJUMUIA ya ‘Tumaini Jipya’ TUJIPE, ilioko kisiwani Pemba, wakiwa katika kazi za vikundi, kwenye mafunzo ya siku tano ya kuandaa mpango mkakati, yaliofadhiliwa na ‘the foundations for civil society’ yaliofanyika uwanja wa Gombani Chakechake Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.