Habari za Punde

Shirika la UNFPA Latowa Msaada kwa Wizara ya Afya Zanzibar

Mwakilishi Mkaazi wa Shirika linaloshughulikia idadi ya watu Duniani (UNFPA) Mariam Khan  akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Afya DK. Mohd Saleh Jidawi vifaa mbali mbali  vya mama wajawazito na watoto vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400 za Kitanzania. Hafla hiyo ilifanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Baadhi ya maofisa wa Wizara ya Afya waliohudhuri hafla ya kukabidhiwa vifaa vya Afya vilivyotolewa na Shirika linaloshughulikia  idadi ya watu duniani (UNFPA) 
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohd Saleh Jidawi akitoa shukrani kwa  baada ya kupokea msaada wa vifaa vya afya vilivyotolewa na Shirika linaloshughulikia idadi ya watu Duniani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.