Habari za Punde

Hali Tafauti na Siku za Nyuma

 Eneo la mtaa wa mchangani limebadilika sura yake kutokana na kuondolewa Wafanyabiashara wa eneo hilo waliokuwa wakipanga bidhaa zao chini kuondolewa na Mamlaka husika inayotunza Mji wa Zanzibar, Hali hii itakwisha lini kuweza kuuweka safi mtaa huu kupunguza msongamano wa Wananchi wanaotumia barabara hii kufuata mahitaji yao katika maduka yalioko katika mtaa huo, msongamano huo huzalisha vibaka wa wiza wa mifukoni na kuchana mapochi kwa kutumia viwembe    

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.